Wednesday, July 6, 2011

MISS SOUTHERN AFRIKA INTERNATIONAL 2011, NELLY KAMWELU

MREMBO aliyeshinda taji la Miss Universe Tanzania 2011, Nelly Kamwelu, hivi karibuni alijishindia taji la Miss Southern Afrika International 2011 katika mashindano yaliyofanyika Juni 27 huko Ndola nchini Zambia na kushirikisha warembo kutoka nchi mbalimbali za kusini na mashariki mwa Afrika.

No comments:

Post a Comment