Thursday, July 28, 2011

DAH: Wabunge 3 watolewa nje ya bunge!

Tundu Lissu

Godbless Lema

Mchungaji MSigwa

Wabunge watatu wa kambi ya upinzani, Mchungaji MSigwa, Tundu Lissu na Godbless Lema,
wametolewa nje ya bunge kwa kile kilichoelezwa na Naibu Spika, 'kuongea bila ruhusa'.

No comments:

Post a Comment