Tuesday, July 5, 2011

CHICHARITO's B'Day Party with frnds!

CHICHARITO (in white) with JESSIQ & E-SIR
IMMA DIAH with his wifi LUCIE
....mpango mzima huo hapo mezani!

Mabeste walikuwa pamoja nami
MKUBWA KAMBI na MAMA LAO JESSIQ.

Napenda kuchukua nafac hii kuwashukuru wanangu wote wa ARACHUGA kwa kunipa support kubwa ktk cku yangu kuubwa (bethidei) 01/07/2011. I hope mliinjoi vya kutosha, na kama kulikuwa na mapungufu naomba mnivumilie.
Thnx guyz...1 love!

No comments:

Post a Comment