Wednesday, June 1, 2011

TANGAZO LA KUMPA POLE DADA YETU SOPHIA JOHN.

NDUGU ZANGU WATANZANIA NA WASIO WATANZANIA JAPAN.TUNAWAOMBA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA KUMPA POLE DADA YETU SOPHIA JOHN AMBAYE AMEFIWA NA MTOTO WAKE KABLA YA KUZALIWA.MAOMBEZI NA MAKUTANO HAYO YA KUMPA POLE DADA YETU SOPHIA JOHN YATAFANYIKA UKUMBI WA TSURUMA YAMATO KARIBU YA ITO YO KADO PALE TUNAPO FANYA SHUGHULI ZETU ZA MISIBA NA MIKUTANO.

MAOMBEZI HAYA NA SALAMU ZA POLE YATAFANYIKA SIKU YA JUMAPILI YA TAREHE 5TH JUNE 2011 KUANZIA SAA SABA MCHANA MPAKA SAA MOJA USIKU.CHAKULA NA VINYWAJI VITAPATIKANA KWA HIYO MSIWE NA HOFU TUJITOKEZE KWA WINGI KATIKA SALAMU ZA KUMPA POLE DADA YETU KIPENZI SOPHIA JOHN.

SHUKRANI ZA DHATI KWA DADA MATILDA,SOPHIA JOHN NA PIA SHUKRANI NYINGI ZIWAENDEE MUNIL MAX,TAJI NGUKU,ALLY KANAGAWA NA WENGINEO WENGI WALIO JITOLEA KATIKA KUKAMILISHA SHUGHULI HII.

KWA MAELEZO ZAIDI YA SALAMU ZA POLE WASILIANA NA WAFUATAO.

MAX MONIEL-080 432 398 41
TAJI NGUKU - 080 656 378 79
ALLY KANAGAWA - 080 507 578 79
SOPHIA JOHN - 080 372 019 18
MATILDA SASAKI - 080 438 758 49
GWAKISA MHOKA - 080 324 274 442


TUNAWAOMBA TUJITOKEZE KWA WINGI KATIKA KUFANIKISHA SHUGHULI HII..


TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA USWAZI BLOG NIKISHIRIKIANA NA MAX MONIEL.MWENYEZI MUNGU ILAZE PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU NA MZIDISHIE NGUVU DADA YETU KIPENZI SOPHIA JOHN.AMEN!!


USWAZI FOR REAL...(TUTOKE JAPAN)

No comments:

Post a Comment