Monday, June 13, 2011

SERENGETI FIESTA FILAMU NDANI YA JIJI LA DAR





Ni Serengeti Fiesta Filamu inayoendelea ndani ya viwanja vya Leaders Club ambapo vijana wamepata mwamko wa kutoka na jumla ya vijana wapatao 1200 wamejitikeza katika zoezi hilo la usaili wa Serengeti Fiesta Filamu. Machakato huo wa kumtafuta mkali wa kuigiza ulianza mapema kabisa leo majira ya saa nne asubuhi na bado mpaka vijana bado hawajaisha. Inaonyesha kuwa watu wengi hasa vijana wa jijini Dar es Salaam wanapenda sana kuwa wasanii wa filamu ndiyo maana wamekuwa na mwamko.

No comments:

Post a Comment