Resdan alia na Enemies
Kenya King of dancehall - REDSAN ni moja wa artists waliofanya vema Kenya Music Industry, anakuja na ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Enemies ndani yake amefunguka kuhusu....ukiwa una mafanikio kwenye kitu unachofanya lazima uwe na haters aka maadui dhidi yako coz sio wote wanaopenda mafanikio yako.
No comments:
Post a Comment