Tuesday, June 7, 2011

MANYARA FC haina Majotrooooooooo!


Timu ya vijana ya umri wa miaka 23 imefanikiwa kuifunga Nigeria bao 1 kwa nunge. Bao hilo limefungwa na Thomas Ulimwengu. Kwa habari na matukio bofya hapa Nako huko Afrika ya kati Taifa stars imeshindwa kutoka na ushindi baada ya kufungwa goli 2 kwa moja. Goli pekee ta Taifa Stars limefungwa na Mbwana Samata.

No comments:

Post a Comment