Wednesday, June 8, 2011

WEMA - KANUMBA NI WANGU WA MOYONI




Wema amesema kuwa, katika maisha yake ya kimapenzi, kati ya wanaume wote aliowahi kuwa nao, ni staa huyo pekee ndiye aliyempenda kupindukia.

"Sidhani kama kuna mwanaume mwingine nitakayempenda kama Kanumba.", Wema.

No comments:

Post a Comment