Wednesday, June 1, 2011

'DEGE' kupiga Offside Trick Miduara ya Bongo


Wakali wa miondoko ya mduara wanakuja tena na track mpya iitwayo Dege na wamesha-shoot video yake na video chini ya kampuni inayojulikana kwa jina la GHS na Producer akiwa ni Abrah Tha Producer na waliotamba sana na track za Ahmada na Bata na Samaki waliyofanya na AT

Hivi karibuni AT alitoa track iitwayo Vifuu Tundu na kufunguka kuwa ni jibu kwa la wimbo wa Offside Trick uitwao Kidudu Mtu.

No comments:

Post a Comment